Tuesday, April 1, 2014

Wale Wale RMX

Mkali wa Hip Hop mwenye tuzo tatu za Kill Music Awards aliyezipata kupitia wimbo wake wa DEAR GOD....
Baada ya kutoa ngoma yake ya walewale na maraia kuielwa sasa
anaandaa RMX ya ngoma Hiyo na wakali akiwemo Young Killer a.k.a Msodoki the Son,Juma Nature pamoja na Ney Lee

No comments:

Post a Comment