Wednesday, April 2, 2014

FAHAMU UJIO MPYA WA RAPER "DRAKE" NA BONGE LA HIT IITWAYO "DRAFT DAY"......

Drake ameachia ngoma mpya yenye dakika 5,inayoitwa Draft Day iliyotengenezwa na Boi-1da and The Fans na iliyosample ngoma ya mwaka 1998 ya Lauryn Hill, ‘Doo-Wop (That Thing).’Isikilize na Download hapa=>http://www.hulkshare.com/TalentedOne/Drake-draft-day

No comments:

Post a Comment