Yawezekana habari hii ikawashitua wengi lakini hali ipo hivyo.......Miaka mitano tangu alipofariki
mkali wa miondoko ya pop duniani, Michael Jackson, Sony na Epic Records
wametangaza plani ya kuachia albamu ya baada ya kifo chake, walioipa jina la
"Xcape"
Mkurugenzi mkuu wa Epic Records amechagua ngoma kumi (10) za Michael Jackson ambazo hazijawahi kutoka na kuziweka katika usikivu wa kisasa na kuongeza production mpya kutoka kwa Timbaland na Rodney Jerkins ambapo album hiyo itaachiwa May 13.....Kaa tayari.
No comments:
Post a Comment