Tuesday, April 1, 2014

MSANII DIAMOND PLATINUMZ AINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA MTANDAO YA NCHINI NIGERIA "MTN".......

Diamond Plutnumz ambaye kwa sasa ameelekea nchini Nigeria amesema alipokea maombi mengi baada ya kutoa Number1 remix aliyomshirikisha Davido,amesema alipokea maombi mengi sana kutoka katika makampuni mbalimbali ya nchini humo wakitaka kuumpa dili ya mkataba kwa kuuza wimbo huo kama CallerTune(muito wa simu) 
 "kama wiki ya tatu nilivyotoa tu nikaanza kupokea mikataba tofauti tofauti kutka Nigeria kuwa kwenye callrtune,ringtone na kadhalika so nikasaini nao vizuri..."alisema  Diamond
akiongezea alisema aliamua kusaini na kampuni ya Simu ya MTN na kuwapa exclusive ili apate pesa nyingi zaidi.....Mbali na rmx Number 1 Original pia ilimpa dili la kutosha hapa TZ baada ya kusaini na kampuni ya Vodacom Tanzania ili kuuza kama muito wa simu mara tu baada ya kutka mnamo mwaka jana.
Pia msanii Diamond yupo nchini Nigeria katika project inayowaktanisha wasanii takribani 19  AKIWEMO DIAMOND AY, FALLY IPUPA, D-BANJ NA WENGINE WENGI....waliojumuika kutengeneza wimbo na video ya wimbo "Cocoa na Chocolate" kwa ajili ya
kuhamasisha kilimo kwa vijana na kuwa kiimo
kinalipa,wamekutana Lagos nchini Nigeria.

No comments:

Post a Comment