
Omari
Nyembo ambaye jukwaani anaitwa Ommy Dimpoz, zaidi ya muziki pia ni
mjasiriamali akitumia kampuni yake ya PKP ambayo huwa inaandaa show
pamoja na kutoka mavazi yenye logo hiyo.Ommy ametoa logo rasmi ya kampuni yake ambayo rangi ya dhahabu imetumika sana kwenye logo hiyo kama inavyoonekana hapa.
No comments:
Post a Comment