
Rich
Mavoko alianza kutoa vipande vya video hii muda mrefu sana kwenye
account yake ya instagram lakini baada ya muda wote huo hatimaye ameitoa
video nzima.
Story kubwa ya hii video ilikua ni Rich Mavoko kukodisha camera ya gharama kutoka Kenya na kwa ajili ya ku-shoot video hii.Cheki na youtube kupata video hii
No comments:
Post a Comment