Kwa mijibu wa mtandao wa 360 nobs wa Naija,inadaiwa gazeti hilo liliandika habari hiyo na kumkashifu D'banj kwa kumuita WOMANISER
kitu ambacho hakikumpendeza koko master hivyo ametishia kulishtaki.Womaniser ni mwanaume ambaye anapenda kuwa na wanawake wengi na kua na mahusiano nao ya kimapenzi ya muda mfupi.
D'banj amesema habari ya yeye na Kenya ni uvumi tu hivyo yupo katika mazungumzo na wanasheria wake kulishtaki gazeti hilo "it is a rumor,the srory has no sbstance i am even about going to sue UK Daily mail for the defamation,i'm discusing with my legal team,they didn't hear from me" alisema D'Banj
No comments:
Post a Comment