Sunday, April 6, 2014

BARACK OBAMA,WINNIE MANDELA NA LUPITA NYONG'O WAALIKWA KWENYE HARUSI YA "KANYE WEST NA KIM KARDASHAN"

Kanye West na mchumba wake Kim Kardashian wapo ktika maandalizi ya harusi yao ambayo inatarajia kufanyika  "may 24" mwaka huu hukko Paris Ufaransa,japo kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusiana na harusi yao na wgeni watakao alikwa katika sherehe hiyo ....
.kwa mijibu wa jarada la American Hit bwana harusi mtarajiwa Kanye West tayari amesha mpatia msaidizi wake list ya wageni watakao hudhuria ktika sherhe hiyo ambyo list hiyo ikiwa na wageni 600.
   Miongoni mwa watu 600,watu  mashuhuri watakao hudhuria katika harusi hiyo ni pamoja na Rais wa Marekani Barack Obama na prince Wiliam na mkewe Catherine wa Uingereza.Wasanii mastaa watakao kuwepo katika sherehe hiyo ni Jay z na mkewe Beyonce,Chriss Martin,Jamie Foxx,Jared Letto na Oprah Winfrey
   Kutoka Africa Mke wa Hayati Nelson Mandela,Winnie Mandela na staa aliyeiteka Hollwood kwa sasa Lupita Nyongo ni miongoni ya watu wlialikwa katika sherehe hiyo.

No comments:

Post a Comment