Baada ya Ommy Dimpoz kufanya show za kutosha nje sasa ni zamu ya staa wa My Number 1
kufanya yake ambapo ukumbi huo ulishafanyiwa shows za kutosha na mastaa kama Jay Z,Young Jeez,Rick Ross,P Square,P'Diddy na wengine kibao.....show itafanyika May 25 siku ya jumapili.
No comments:
Post a Comment