Mzee wa mitulinga a.k.a the heavy weight mc maarufu kama Prof.Jay amechia ngoma mpya akiwa amemshirikisha mkali wa Bongo Fleva "
Sukari Ya Warembo" Diamond Plutnumz ambaye kasimama vizuri kwenye Chorus ya ngoma hiyo, Vimekutana vichwa hatari sana katika ngoma hii inayoitwa "KIPI SIJASIKIA" Sikiliza na Download hapa=>
http://www.hulkshare.com/TalentedOne/Prof.jay-feat
No comments:
Post a Comment