Thursday, June 19, 2014

NEWJOINT:Navy Kenzo-Aiyola

Cheki na ngoma mpya iliyofanywa na Navy Kenzo na beat kufanywa na Nah Real him self

Friday, May 16, 2014

NEW JOINT:Lil Wayne-D'usse


Rapper kutoka YMCMB lil wayne aachia ngoma mpya "D'usse" fanya kuisikiliza na ku-download hapa=>http://www.hulkshare.com/fq6e0kyedq80

Dengue yaingia Zanzibar, watatu wagundulika

Watu watatu wamelazwa katika Hospitali Kuuu ya Mnazimmoja mjini Zanzibar baada ya kushukiwa kuwa na maradhi ya homa ya Dengue inayosababishwa na mbu aina ya “Aedes”Ugonjwa huo tayari umeingia jijini Dar es Salaam na kuathiri watu zaidi ya 400 huku wengine wakiripotiwa

Mastaa watoa yao ya moyoni ni pamoja na mpenzi wake Diamond… Wema Sepetu baada ya,kuingia TUZO ZA BET Diamond

Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.34 AMIlikua stori kubwa pale Diamond Platnumz alipotangazwa kushiriki kwenye tuzo za MTV Base (Mama Awards) kikiwa ni kituo kingine kikubwa cha burudani Afrika.Diamond Platnumz ameingia kwenye stori nyingine kubwa ya dunia baada ya kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za Television kubwa ya Marekani ya BET ambapo yupo kwenye kipengele cha wanaogombea

Sunday, May 11, 2014

EXCLUSIVE:DIAMOND PLUTNUMZ AJA NA 'KITORONDO'

Baada ya kukwapua tuzo saba katika tuzo za KTML 2014,Diamond aamua kuwaonesha mashabiki wake kwamba hakubaatisha na bado uwezo anao....

Sunday, May 4, 2014

Diamond akomba Saba KTMA,FID Q,Weusi Wasumbua Hip Hop.....Tazama picha za KTMA 2014 Hapa.

Diamond Platnumz amethibitisha kuwa ndiye msanii namba moja kwa sasa nchini Tanzania baada ya usiku wa Jumamosi kunyakua vipengele vyote zote saba alivyokuwa ametajwa kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro, KTMA Diamond alikuwa ameambatana na Mchumba wake Wema Sepetu wengine walio chukua tunzo zaid ya Moja ni Fid Q,Weusi

Wednesday, April 30, 2014

NEW JOINT:Steve RnB-She Dance

Mkali wa miondoko ya RNB Steve....ameachia ngoma mpya fanya kuisikiliza na kudownload hapa

Monday, April 28, 2014

DEL PIERO AAMUA KUTUNDIKA DARUGA.

MCHEZAJI mkongwe Alessandro Del Piero ameamua kutundika daruga kuitumikia klabu ya Sydney FC lakini anaweza kurejea kwa shughuli nyingine. Nguli huyo wa zamani wa Juventus amekuwa akihusishwa na tetesi za kuwa kocha katika klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu nchiniAustralia maarufu kama A-League baada ya Frank Farina kutimuliwa.

WACHEZAJI WA LOS ANGELES CLIPPERS WAFANYA MAANDAMANO YA KIMYA KIMYA KUFUATIA KAULI YA KIBAGUZI YA BOSI WAO.

WACHEZAJI wa mpira wa kikapu nchini Marekani wamefanya maandamano ya kimya kimya kufuatia ripoti kuwa mmiliki wa timu yao amerekodiwa kisiri akitoa kauli za kibaguzi. Los Angeles Clippers waliingia kupasha misuli moto jana huku fulana zao wakiwa wamezigeuza ndani-nje ili kuficha nembo ya timu hiyo. 

KLABU AFRIKA: DROO ZA MAKUNDI KUFANYIKA JUMANNE!


DROO za kupanga Makundi ya CAF CHAMPIONZ LIGI na Kombe la Shirikisho itafanyika Jumanne Aprili 29 huko Makao Makuu ya CAF Jijini Cairo Nchini Misri.Kwenye CAF CHAMPIONZ LIGI zipo Timu 8 zilizofuzu hatua hii na Droo hiyo itapanga Makundi mawili ya Timu 4 kila moja ambayo yatacheza mtindo wa Ligi,

UEFA CHAMPIONS LIGI: FAINALI, NI MABINGWA BAYERN AU REAL WANAOSAKA ‘DECIMA’?



FC Bayern Munich v Real Madrid CF
-Allianz Arena, Munich, Germany
HILI ni pambano kali sana na Mabingwa Watetezi, Bayern Munich, chni ya Meneja wao Pep Guardiola, ambae anaifahamu fika Real Madrid tangu enzi zake akiwa na Barcelona, ana kazi nzito ya kugeuza kipigo cha Bao 1-0 ili watinge Fainali.Kihistoria, Bayern Munich wana Rekodi nzuri sana dhidi ya Real Madrid wakiwa kwao huko Munich lakini kwenye Mechi hizi Historia huwa inabaki Vitabuni tu na kuandikwa baada ya Mechi.

PFA-TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA: NI LUIS SUAREZ!

STRAIKA wa Liverpool Luis Suarez ametwaa Tuzo ya England ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya PFA [Professional Footballers' Association], Chama cha Wanasoka wa Kulipwa, hapo Jana.Msimu uliopita, kipindi kama hiki, Luis Suarez alikuwa akianza kutumikia Adhabu ya Kifungo cha Mechi 10 baada kumuuma Meno Mchezaji wa Chelsea, Branislav Ivanovic,

Hizi ndizo picha za Jeshi la Wananchi Tanzania zilizoleta stori mtaani.

Inawezekana raia wengi wa Tanzania tulikua hatujui nguvu ya jeshi letu la Wananchi,vifaa vyake pamoja na matumizi ya vifaa hivyo hasa inapotakiwa kuvitumia,April 26 Tanzania tulikua tukitimiza miaka 50 ya Muungano wetu kati ya Zanzibar na Tanganyika na kuzaliwa kwa Tanzania.

Saturday, April 26, 2014

UMENUNA-CHINBEES ft NAHREEL

Chek new joint ya CheenBees feat. Nahreel inaitwa Umenuna hapa=>http://www.hulkshare.com/navy-kenzo/umenuna-chinbees-ft-nahreel

NISSAN WAJA NA KALI....."GARI INAYOJIOSHA YENYEWE"

      
Kampuni kubwa ulimwenguni inayotengeneza Gari aina ya Nissan,imetoa toleo jipya ya Nissan-Note yenye uwezo wa kujiosha yenyewe.....video hii ikithibitisha

Friday, April 25, 2014

ZIMA-NASH MC

Check new track ya Mkali wa Hip-Hop Nash Mc Chata "ZIMA" sikiliza na Download hapa=>http://www.hulkshare.com/kizazichahisabati/maalim-nash-zima-song-1-mp3

MAMBO MENGINE BAADAE-NYANDU TOZ,MR.BLUE&USWEGE

Sikiliza na Download track mpya ya Nyandu Toz hapa =>http://www.hulkshare.com/ezfc2mrbrfnk

HATIMAYE JANUZAJ ACHAGUA KUITUMIKIA UBELGIJI.

WINGA wa klabu ya Manchester United, Adnan Januzaj ameamua kuiwakilisha Ubelgiji katika michuano ya soka ya kimataifa. Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Marc Wilmots ametangaza katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter amefurahishwa na uamuzi uliochukuliwa na mchezaji huyo.