Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani-NBA kinachunguza taarifa hiyo iliyotolewa na mtandao wa habari za mastaa wa TMZ kuwa mmiliki wa Clippers Donald Sterling ndio aliyetoa kauli hiyo.
Wachezaji wa timu hiyo
walivaa vita vyeusi mikononi huku wote wakivaa soksi nyeusi katika jezi
zao za kawaida. Sterling aliinua Clippers mwaka 1981 na hakuwepo katika
mchezo huo dhidi ya Golden State Warriors uliofanyika jijini Oakland
ambao wachezaji wake walifanya mgomo huo wa kimya kimya.




No comments:
Post a Comment