Friday, April 4, 2014

NEY WA MITEGO KUKWEA PIPA HADI KWA "MADIBA" KWA AJILI YA SHOOTING YA VIDEO YAKE MPYA

Rapper na hit maker wa 'Muziki gani' na sasa 'Nakula ujana' hivi karibuni anatarajia kujiachia hadi kwa Madiba "South Africa" kwa ajili ya kufanya video yake mpya....
Nay amesema kutokana na muzik wake kukua na kukubalika na yeye pia anahitaji kukua kwa kufanya kazi nzuri na zenye Quality ya muzik wake kwa sasa "Muziki umebadilika sana unahitaji kujituma sana na kuweka nguvu nyingi kwenye kazi zako,ndio maana saiv kila msanii anajipanga na kujaribu kufanya vitu vya mbele kidogo,mashabiki wangu wasubiri kazi nzuri kutoka kwa Nay" alifunguka hivyo Ney wa Mitego...na wakati huo huo rapper huyo yupo nominated kwenye Tuzo za Kill 2014

No comments:

Post a Comment