KAMA UMEMISS AU KAMA HUKUPATA TIME YA KUONA KILE ALICHOFANYA STAA WA BONGO MOVIE WEMA ........CHEKI HAPA
Video:Wema Sepetu alivyozivamia ofisi za Global Publishers kwa madai ya aliandikwa ndivyo sivyo
Wema Abraham Sepetu amezivamia ofisi za Global Publishers zilizoko
Bamaga – Mwenge, Dar es Salaam akidai kuwa ameandikwa vibaya kwenye
magazeti ya kampuni hilo na kuzua tafrani.
Itazame hapa=>http://bit.ly/1pXHOTG
No comments:
Post a Comment