Rapper kutoka tamaduni music Nash Mc ameamua kuonyesha fikra na hisia
zake juu ya uhalisia wa muziki wa hip hop kwa kuandika hiki katika ukurasa wake kwente mtandao wa
kijamii wa Facebook...
#Nash_Mc_Chata "kuburudisha kupitia Hip Hop ni sehemu ya utamaduni wetu,sasa baadhi ya wasanii wanashindwa kutayarisha vibao vya kuburudisha kutoka ndani ya utamaduni na wanaamua kusema kua wakiburudisha kwa aina nyingine za muziki ndio itakua mzuka,ilo sio kweli ni uongo ulio dhahiri wa shahiri,kama umeshindwa jambo la Hip Hop basi unaweza ukatuachia wenyewe kuliko kupotosha watu na maneno meeengi.ngoja nash mc, daz knaledge na chaba tuwaoneshe jinsi Hip Hop inavyoweza kutoa burudani ya aina yake na kupitia mitndo ya aina yake! kaa tayari kwa single ikayofungua EP yangu mpya,hakuna anaetudai kwa nn tusifuraaaaaahi!!!!!!!!????" alindikahivyo mkali huyo.

No comments:
Post a Comment