Tuesday, March 25, 2014

Rapper Kabaya kutoka Mkoani Njombe

KAMA ULIKUWA HUMJUI MRITHI WA NGWEAR NJE YA MSWAKI NI HUYU Kabaya the. Boy ni Rapper kutoka Ludewa mkoani NJOMBE mwenye miondoko kama ngwear kama hukuwahi msikia cheki na ngoma yake hapa http://soundcloud.com/deejay-caris69/ kabaya-the-boy-fumbo-la-penzi

No comments:

Post a Comment