
Ilikua stori kubwa pale Diamond Platnumz alipotangazwa kushiriki
kwenye tuzo za MTV Base (Mama Awards) kikiwa ni kituo kingine kikubwa
cha burudani Afrika.Diamond Platnumz ameingia kwenye stori nyingine kubwa ya
dunia baada ya kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za Television kubwa ya
Marekani ya BET ambapo yupo kwenye kipengele cha wanaogombea
BEST
INTERNATIONAL ACT AFRICA.Anaigombea hiyo tuzo na Davido wa Nigeria, Mafikizolo wa South Africa, Tiwa Savage wa Nigeria, Toofan na Sarkodie wa Ghana.
the OFFICIAL nominees 2014!….BET kupitia page yao ya twitter waliandika kuthibitisha kuchaguliwa
kwa Diamond na kumpongeza akiwa pia ni msanii pekee wa Afrika Mashariki
kwenye tuzo hizi za mwaka huu.




No comments:
Post a Comment