Sunday, May 11, 2014

EXCLUSIVE:DIAMOND PLUTNUMZ AJA NA 'KITORONDO'

Baada ya kukwapua tuzo saba katika tuzo za KTML 2014,Diamond aamua kuwaonesha mashabiki wake kwamba hakubaatisha na bado uwezo anao....
hii ni demo ya wimbo wake huo mpya ambao utatambulishwa rasmi wiki ya kesho, Sikiliza na Download hapa=>http://www.hulkshare.com/626w3d9uiolc

No comments:

Post a Comment