Sunday, May 4, 2014

Diamond akomba Saba KTMA,FID Q,Weusi Wasumbua Hip Hop.....Tazama picha za KTMA 2014 Hapa.

Diamond Platnumz amethibitisha kuwa ndiye msanii namba moja kwa sasa nchini Tanzania baada ya usiku wa Jumamosi kunyakua vipengele vyote zote saba alivyokuwa ametajwa kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro, KTMA Diamond alikuwa ameambatana na Mchumba wake Wema Sepetu wengine walio chukua tunzo zaid ya Moja ni Fid Q,Weusi

Wimbo Bora wa Mwaka
Number One - Diamond

Mwimbaji Bora Wakike-Kizazi kipya
Lady JayDee

Mwimbaji Bora wa Kiume-Kizazi Kipya
Diamond

Muimbaji Bora Wa Kike-Taarabu
Isha Ramadhani

Muimbaji Bora wa Kiume-Taarabu
Mzee Yusuf

Muimbaji Bora wa Kiume-Band
Jose Mara

Muimbaji Bora Wakike-Bendi
Luiza Mbutu

Msanii Bora Wa HIP HOP
FID Q

Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia
Young Killer

Rapper Bora wa Mwaka-Band
Furguson

Mtumbuizaji Bora wa Kike-Muziki
Isha Ramadhani

Mtumbuizaji Bora wa Kiume-Musiki
Diamond

Mtunzi Bora wa Mwaka-HIP HOP
FID Q

Video Bora ya Mwaka
Number One-Diamond

Bendi ya Mwaka
Mashujaa Bendi

Kikundi Bora cha Taarabu
Jahazi Modern Taarab

Kikundi Cha Mwaka-Kizazi kipya
Weusi

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka-Taarab
Enrico

Mtayarishaji Bora wa Mwaka wa Nyimbo-Kizazi kipya
Man Walter

Mtayarishaji Bora wa Nyimbo -Bendi
Amoroso

Mtunzi Bora Taarab
Mzee Yusuf

Mtunzi Bora Wa Maka-Kizazi kipya
Diamond

Mtunzi Bora Wa Mwaka Bendi
Christian Bella

Wimbo Bora wa Kiswahili Bendi
Ushamba Mzigo-Mashujaa Band

Wimbo Bora Wa Reggae
Niwe Na Wewe-Dabo

Wimbo Bora Afrika Mashariki
Tubonge-Chamileone

Wimbo Bora Afro POP
Number One-Diamond

Wimbo Bora Taarabu
Wasiwasi wako-Mzee Yusuf

Wimbo Bora Wa HIP HOP
Nje ya Box-Nikki wa Pilli ft Joe Makin & G.Nako

Wimbo Bora Wa R&B
Closser-Vanessa Mdee

Wimbo Bora Wakushirikiana
Mziki Gani-Ney Wa Mitego ft Diamond

Wimbo Bora Wa Ragger/Dancehal
Nishai-Chibwa ft Juru

Wimbo Bora Wa Zouk/rhumba
Yahaya-LadyJaydee

Hall of FAME Awards
Hassan Rehani Bichuka
Masoud Masoud-TBC1

No comments:

Post a Comment