Sasa ikiwa zimepita siku kadhaa mwanamuziki huyo raia wa Colombia jana alitumia mtandao wa Facebook kupitia akaunti yake rasmi na kusema kwamba alikuwa anatania na sio kweli kwamba Pique amemkataza kushirikiana na models wa kiume kwenye videos zake.
Saturday, April 5, 2014
Hiki ndicho alichopost Shakira Facebook kuhusu Pique kumkataza kufanya video na wanaume
Sasa ikiwa zimepita siku kadhaa mwanamuziki huyo raia wa Colombia jana alitumia mtandao wa Facebook kupitia akaunti yake rasmi na kusema kwamba alikuwa anatania na sio kweli kwamba Pique amemkataza kushirikiana na models wa kiume kwenye videos zake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment