Kama unakumbuka miezi kadhaa iliyopita Juma Nature alitambulisha wimbo wake wa "Chuma ulete"alifafanya mahojianona kituo kimoja cha rediona katika mazungumzo
yaliyoendelea Nature aligusia project aliyokuwa akiifayia kazi ambayo
ilikuwa ni project ya kutoa "ndala" zenye jina lake. Lakini mpaka mda huu ndala hizo hazijatoka kwa madai ya kuwa busy na mambo
mengine kwa muda uliopita, sasa siku moja baada ya Jokate kutangaza
kuingiza sokoni project yake mpya ya ndala zenye sura yake alitoa pia tweet yake
JUMA KASIM NATURE aliweza kufunguka kama hivyo baada ya taarifa za jokate"kama atakuwa ametoa atakuwa ameiga idea yangu mie, wezi tu, maake nimsaidia maisha huyo.si idea yangu hiyo. kutoa lazima nitoe kwasababu mi ntabaki still ni Nature, ni yule yule miaka na miaka hata potea hata kidogo, mi bado kidogo kwasababu nna mambo mengi nafanya katikati hapa. hakuna msanii aliewahi kutangaza anatengeneza project ya ndala zaidi yangu mie, hiyo kila mtu anajua." amesema Nature


No comments:
Post a Comment